Jukwaa la Kujifunza Teknolojia na Ubunifu

Karibu NIJUZE TECH

Jifunze Teknolojia, Tengeneza Ubunifu, Panua Biashara Yako Kidijitali.

NIJUZE TECH ni jukwaa la kujifunza na kupata huduma za kisasa za kidijitali. Tunakusaidia kujifunza kutumia AI kutengeneza video, kufanya video editing, kubuni graphics, kutengeneza website, na kutangaza biashara yako mtandaoni.

Huduma Zetu
Huduma Zetu

Kila Unachohitaji Kukua Kidijitali

Chagua eneo unalotaka kujifunza au huduma unayohitaji kwa biashara yako.

AI Video Creation

Jifunze kutengeneza video za kitaalamu kwa AI kupitia video tutorials, mifano ya prompts na mwongozo wa hatua kwa hatua.

  • SuperGrok AI
  • Google Flow
  • Zana nyingine za AI video

CapCut Video Editing

Hariri video kitaalamu kwa ajili ya mitandao ya kijamii na matangazo.

  • Transitions na effects
  • Subtitles na captions
  • Kusawazisha sauti na video
  • AI editing features

Canva Graphic Design

Buni graphics zinazovutia bila kuwa na uzoefu wa design.

  • Posters na flyers
  • Logo na social media posts
  • Presentations na thumbnails
  • Canva AI features

Web Design & Development

Mafunzo na huduma za kutengeneza website za kisasa zinazojibu kila kifaa.

  • HTML, CSS, JavaScript, PHP, Bootstrap
  • Business websites na landing pages
  • Mifumo ya malipo ya moja kwa moja
  • Website maintenance

Digital Marketing

Tangaza biashara yako mtandaoni na ufikie wateja wapya.

  • Facebook na Instagram page management
  • Sponsored ads na paid campaigns
  • Content planning na ripoti za matokeo
Mafunzo Maalum

Anza Kujifunza Leo

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua 3 Rahisi

01

Chagua Somo

Tafuta kwa jina au chuja kwa kundi na kiwango chako (Mwanzo, Kati, Juu).

02

Tazama na Fuatilia

Fuata video na hatua zilizoandikwa moja kwa moja kwenye kifaa chako.

03

Tengeneza na Kua

Tumia ujuzi kutengeneza maudhui yako au tupe kazi tukusaidie.

Unahitaji website au matangazo ya biashara?

Tuambie mahitaji yako — tutakushauri na kukupa bei inayolingana na kazi yako.