AI Video Creation

Flow AI (Google Flow)

Utangulizi

Flow ni nini?

Flow ni zana ya Google Labs iliyoundwa kwa ajili ya watengenezaji wa filamu na maudhui. Inatumia modeli za AI za Google (kama Veo kwa video) kutengeneza video clips kutoka kwa maelezo ya maandishi au picha.

Katika mafunzo haya utajifunza kuanzisha mradi, kuandika prompts za scenes, kutumia udhibiti wa kamera, na kuunganisha clips kuwa hadithi moja kamili.

Tazama Mafunzo
Full Course

Flow AI Full Course

Masomo yote ya Flow AI sehemu moja, kwa mpangilio — kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Masomo 5
Fungua Full Course
Mifano

Mifano ya Prompts za Scenes

Wide shot: mvuvi kijana akivuta mtumbwi ufukweni alfajiri, ukungu mwepesi, kamera ikisogea mbele polepole.
Close-up ya mikono ya fundi akishona kitenge kwa cherehani, mwanga wa dirisha, mtindo wa cinematic.
Drone shot juu ya mlima Kilimanjaro wakati wa macheo, mawingu chini, rangi za joto.
Scene inayofuata: mhusika yule yule anatembea sokoni, akitabasamu, kamera ikimfuata kwa nyuma.
Video Lessons

Mafunzo ya Flow AI kwa Video

Chagua somo lolote hapa chini na anza kujifunza.

Endelea Kujifunza

Mafunzo Yanayohusiana

Una swali kuhusu Flow AI?

Tuandikie — tunafurahi kukusaidia kuchagua somo sahihi au mafunzo ya ana kwa ana.