Huduma na Mafunzo

Digital Marketing

Tunakusaidia kutangaza biashara yako mtandaoni: kusimamia kurasa za Facebook na Instagram, kuendesha matangazo ya kulipia, kutengeneza maudhui na kupima matokeo.

Huduma

Tunachokufanyia

Social Media Management

Kusimamia akaunti zako na kujibu hadhira yako kwa wakati.

Facebook & Instagram Pages

Kuweka, kupamba na kuendesha kurasa za biashara.

Sponsored Ads & Campaigns

Kuanzisha matangazo ya kulipia yanayolenga wateja sahihi.

Content Planning

Kalenda ya maudhui na kuchapisha kwa mpangilio.

Content Creation

Graphics, video fupi na captions zenye mvuto.

Performance Reporting

Ripoti za matokeo ya kampeni na ushauri wa kuboresha.

Faida

Kwa nini NIJUZE TECH?

  • Mkakati unaolingana na bajeti na malengo yako
  • Maudhui yanayoendana na utambulisho wa brand
  • Matangazo yanayolenga hadhira sahihi
  • Ripoti zinazoeleweka za kila kampeni
  • Ushauri wa kuendelea kukua mtandaoni
Mchakato

Jinsi Tunavyofanya Kazi

  1. Tathmini
    Tunapitia kurasa zako za sasa, washindani na hadhira yako.
  2. Mkakati
    Tunaweka malengo, nguzo za maudhui na mpango wa matangazo.
  3. Utekelezaji
    Tunatengeneza maudhui, kuchapisha na kuendesha kampeni.
  4. Kupima
    Tunafuatilia matokeo na kukupa ripoti.
  5. Kuboresha
    Tunarekebisha mkakati kulingana na data.
Vifurushi

Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Bei hutegemea ukubwa na mahitaji ya kazi. Omba bei ili tukupe makadirio sahihi.

Usimamizi wa Social Media

Tunasimamia kurasa zako za Facebook na Instagram.

Wasiliana nasi kwa bei.
  • Kupanga na kuchapisha maudhui
  • Kujibu maoni
  • Ripoti ya kila mwezi
  • Ushauri wa ukuaji

Kampeni za Matangazo

Kuanzisha na kusimamia sponsored ads.

Wasiliana nasi kwa bei.
  • Kuweka kampeni
  • Kulenga hadhira sahihi
  • Ufuatiliaji wa bajeti
  • Ripoti za utendaji

Utengenezaji wa Maudhui

Graphics, video fupi na maandishi ya matangazo.

Wasiliana nasi kwa bei.
  • Graphics za posts
  • Video fupi (Reels/TikTok)
  • Captions zenye mvuto
  • Brand consistency

Omba Bei / Quotation

Huduma: Digital Marketing. Tutakujibu kupitia barua pepe au simu.

Tafadhali andika jina lako.
Andika barua pepe sahihi.
Namba ya simu si sahihi.
Eleza mahitaji yako (angalau herufi 10).
WhatsApp

Nini kitafuata?

  1. Tunapokea ombi lako na kulipitia.
  2. Tunawasiliana nawe kuuliza maswali ya ziada.
  3. Unapokea makadirio ya bei na muda wa kazi.

Unapendelea kuongea moja kwa moja? Tumia WhatsApp au ukurasa wa Contact Us.

Video Lessons

Jifunze Digital Marketing

Chagua somo lolote hapa chini na anza kujifunza.

Endelea Kujifunza

Mafunzo Yanayohusiana