Website ya Biashara kwa PHP na Bootstrap
Jenga website inayojibu simu na kompyuta, yenye fomu ya mawasiliano.
Tazama SomoTunatengeneza website za kisasa, za haraka na zinazojibu simu — na pia tunakufundisha kujenga yako mwenyewe kwa HTML, CSS, JavaScript, PHP na Bootstrap.
Website kamili za kampuni na biashara zenye kurasa za huduma na mawasiliano.
Ukurasa mmoja wa kutangaza bidhaa, huduma, kozi au tukio.
Onyesha kazi zako kwa wateja kwa muundo wa kipekee.
Kuunganisha website na malipo ya mtandaoni (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, kadi za benki) kupitia payment gateway — wateja wanalipa na malipo yanathibitishwa papo hapo.
Muonekano mzuri kwenye simu, tablet na kompyuta.
Masasisho, backups, usalama na kurekebisha hitilafu.
HTML, CSS, JavaScript, PHP na Bootstrap kwa vitendo.
Bei hutegemea ukubwa na mahitaji ya kazi. Omba bei ili tukupe makadirio sahihi.
Unapendelea kuongea moja kwa moja? Tumia WhatsApp au ukurasa wa Contact Us.
Chagua somo lolote hapa chini na anza kujifunza.
Video ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Jenga website inayojibu simu na kompyuta, yenye fomu ya mawasiliano.
Tazama SomoHatua za kuanzisha kampeni ya matangazo kwenye Facebook na Instagram.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Tengeneza poster inayovutia kwa kutumia templates, rangi na fonts sahihi.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Panga posts za mwezi mzima kwa ajili ya kurasa za biashara.
Tazama Somo