Kubuni Poster ya Biashara kwa Canva
Hatua za kuanzisha kampeni ya matangazo kwenye Facebook na Instagram.
Tazama SomoCanva ni jukwaa la mtandaoni la kubuni graphics lenye maelfu ya templates, fonts na picha. Linapatikana kwenye browser, kompyuta na simu.
Katika mafunzo haya utajifunza kanuni za msingi za design (mpangilio, rangi, fonts na nafasi) na kuzitumia kutengeneza kazi za kitaalamu kwa biashara yako au wateja wako.
Masomo yote ya Canva Design sehemu moja, kwa mpangilio — kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Chagua somo lolote hapa chini na anza kujifunza.
Hatua za kuanzisha kampeni ya matangazo kwenye Facebook na Instagram.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Tengeneza poster inayovutia kwa kutumia templates, rangi na fonts sahihi.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Tengeneza thumbnails zenye mvuto kwa kutumia contrast, maandishi makubwa na picha.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Hatua za kubuni logo inayoeleweka, pamoja na kuchagua rangi za brand.
Tazama Somohapa utajifunza namna ya kulog in na namna ya kuhakiki subscription zako pamoja na mnamna unaweza kulink capcut ya simu na pc yako
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Import, kata, panga na export video yako ya kwanza kwa CapCut.
Tazama SomoVideo ya somo hili bado haijaongezwa.
Tafadhali rudi baadaye.
Panga posts za mwezi mzima kwa ajili ya kurasa za biashara.
Tazama SomoTuandikie — tunafurahi kukusaidia kuchagua somo sahihi au mafunzo ya ana kwa ana.